BI TAIFA MACHI 10, 2019

Rita Wanja 20 ni mwanafunzi wa uhasibu katika Chuo Kikuu Cha Kabarak mjini Nakuru. Uraibu wake ni kuogelea na kujumuika na marafiki. Picha /Richard Maosi