BI TAIFA MACHI 14, 2020

Stephanie Wamboi ni mzaliwa wa Limuru, yeye ni mwanamitindo chipukizi ambaye mara nyingi hushughulika na ubunifu wa mitindo ya kisasa. Anapenda kutazama filamu za Soap Opera.

Picha/Richard Maosi