BI TAIFA MACHI 20, 2020

Grace Githinji ni mwanafunzi katika taasisi moja mjini Nakuru, yeye ni mjuzi wa vipodozi na mapambo. Wakati mwingi anapenda kupiga picha na kutazama filamu.

Picha/Richard Maosi