BI TAIFA MEI 02, 2019

Anayetupambia ukurasa wetu ni Faith Bitok 21. Yeye ni mwanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Moi Eldoret. Uraibu wake ni kupika, kuogelea na kusafiri. Picha/Richard Maosi