BI TAIFA MEI 03, 2019

Mary Alice, 23, ni mwanafunzi wa ususi katika taasisi ya Vera Beauty College mjini Nakuru. Wakati wake mwingi anapenda kusafiri na kujumuika na marafiki. Picha/Richard Maosi