BI TAIFA MEI 05, 2019

Jenniffer Tenai ni mwanafunzi wa uhasibu kutoka Kaunti ya Uasin Gishu katika Chuo Kikuu cha Moi. Uraibu wake ni kusafiri na kujumuika na marafiki. Picha/Richard Maosi