BI TAIFA MEI 09, 2019

Esther Bobo ni mwanafunzi kutoka eneo la Molo Kaunti ya Nakuru. Yeye ni mwanahabari na mpiga picha chipukizi. Uraibu wake ni kutazama filamu na kusafiri. Picha/Richard Maosi