BI TAIFA MEI MOSI, 2019

Malkia wetu hapa ni Emma Awuor. Yeye ni mtaalamu wa ulimbwende na mwanamitindo maarufu katika Kaunti ya Nakuru. Uraibu wake ni kusoma na kujumuika na marafiki. Picha/Richard Maosi