BI TAIFA NOVEMBA 01, 2020

Diana Arao 24, ni mwanafunzi wa fasheni katika taasisi moja mjini Nakuru.Yeye ni mwanamitindo na mwanafasheni.Uraibu wake ni kuchora, kusafiri na kupika. Picha/Richard Maosi