BI TAIFA NOVEMBA 03, 2020

Njehia  Waringa 22, ni mkazi wa eneo la Freehold kaunti ya Nakuru. Yeye ni mwanafunzi katika Chuo Cha JKUAT Nairobi. Uraibu wake ni kusoma na kusikiliza muziki wa kizazi kipya. Picha/Richard Maosi