BI TAIFA NOVEMBA 04, 2019

Ivy Wachira amehitimu miaka 24, yeye ni mwanafunzi katika chuo kimoja nchini Australia lakini kwa sasa yupo likizoni nchini Kenya. Uraibu wake ni kusakata densi.

Picha/Richard Maosi