BI TAIFA NOVEMBA 05, 2019

Anayetupambia tovuti yetu anafahamika kama Phaustine Auma mwenye umri wa miaka 25, yeye ni mfanyibiashara kutoka eneo la Lanet, Nakuru. Uraibu wake ni kusafiri na kuogelea.
Picha/Richard Maosi