BI TAIFA NOVEMBA 06, 2019

Teq Binti Afrique ni mwendeshaji pikipiki shupavu kutoka kaunti ya Kisumu. Pia ni mfanyibiashara na mwanamitindo kutoka Kisumu. Wakati wake mwingi anapenda kuchora na kusafiri.
Picha/Richard Maosi