BI TAIFA NOVEMBA 07, 2019

Valerian Lewama ni mzaliwa wa kaunti ya Taita Taveta. Yeye ni mwanamitindo wa mavazi ya kiasili na mapambo. Uraibu wake ni kusikiliza muziki na kutazama filamu za Soap Opera.

Picha/Richard Maosi