BI TAIFA NOVEMBA 08, 2019

Joyce Mwangeka ni mwanahabari chipukizi kutoka mjini Mombasa. Ana miaka 26. Anapenda kutangamana na marafiki wapya. Picha/Richard Maosi