BI TAIFA NOVEMBA 10, 2019

Mary Jepkoech, 24, ni mwanamitindo wa kaunti ya Uasin Gishu. Hivi sasa anasomea taaluma ya uanahabari katika chuo kimoja jijini Nairobi. Uraibu wake ni kuogelea na kutazama filamu.

Picha/Richard Maosi