BI TAIFA NOVEMBA 11, 2019

Josephine Odindo, 22, ni mwigizaji kutoka kaunti ya Nakuru, yeye ni mwanafunzi wa chuo kimoja hapa na akipata muda anapenda kuigiza na kuendesha baiskeli.

Picha/Richard Maosi