BI TAIFA NOVEMBA 13, 2019

Waridi Mogore, 21, ni mwanafunzi katika Chuo cha NIBS mjini Nakuru. Yeye ni mwanamitindo na mwanamuziki chipukizi anayependa kujumuika na marafiki.

Picha/Richard Maosi