BI TAIFA NOVEMBA 16, 2019

Blessing Sein ana miaka 22. Yeye ni mzaliwa wa Kaunti ya Narok lakini hivi sasa anajishughulisha na mitindo ya mavazi ya kiasili. Uraibu wake ni kuchora.
Picha/Richard Maosi