BI TAIFA NOVEMBA 20, 2019

Ruth Jepchirchir, 27, ni mwanamitindo na anafanya utafiti katika Chuo Kikuu cha Moi, Kaunti ya Uasin Gishu. Anapenda kusafiri na kusikiliza muziki wa kizazi kipya.
Picha/Richard Maosi