BI TAIFA NOVEMBA 24, 2019

Diana Makenzi, 21, ni mtaalamu wa mapambo na mitindo ya mavazi kutoka eneo la Tala, Kaunti ya Machakos. Anapenda kuchora na kusikiliza muziki wa kizazi kipya.
Picha/Richard Maosi