BI TAIFA OKTOBA 04,2020

Elizabeth Almasi, mwenye umri wa miaka 22, ni mkazi wa eneo la Bahati, Kaunti ya Nakuru. Yeye ni mwanafunzi katika Taasisi ya Kenya Youth Empowerment Opportunity Project. Uraibu wake ni kupika, kusafiri na kuogelea. Picha/Richard Maosi