BI TAIFA OKTOBA 06, 2020

Mary Wambui, 21, ndiye anatupambia tovuti yetu leo. Yeye ni mwanamitindo katika mtaa wa Uthiru, Kaunti ya Nairobi. Uraibu wake ni kupika, kutazama filamu na kuogelea. Picha/Richard Maosi