BI TAIFA OKTOBA 07, 2020

Grace Mukuhi, mwenye umri wa miaka 20, ni mwanamitindo jijini Nairobi, mtaa wa Uthiru. Uraibu wake ni kusikiza muziki, kuogelea na kujumuika na marafiki. Picha/Richard Maosi