BI TAIFA OKTOBA 08, 2020

Mary Gichuru 23, ni mfanyibiashara wa mitindo na mapambo kutoka Kaunti ya Nakuru. Anapenda kushiriki kwenye majukwaa ya urembo, kusafiri na kujumuika na marafiki. Picha/ Richard Maosi