BI TAIFA OKTOBA 10, 2020

Jane Kharim amefikisha miaka 24, yeye ni mwanamitindo na mwanafasheni kutoka kaunti ya Nakuru. Uraibu wake ni kusakata densi na kujumuika na marafiki. Picha/Richard Maosi