BI TAIFA OKTOBA 11, 2020

Janet Bonyo 24 ni mfanyibiashara kutoka kaunti ya Nakuru, yeye ni mwanafunzi katika Chuo Kikuu Cha Egerton Njoro. Uraibu wake ni kusoma, kutalii na kupatana na marafiki wapya. Picha/Richard Maosi