BI TAIFA OKTOBA 12, 2020

Mary Rewel mwenye umri wa miaka 24, ndiye anatupambia wavuti wetu , yeye ni mwalimu na mchekeshaji.Uraibu wake ni kusoma majarida na kutunga mashairi. Picha/Richard Maosi