BI TAIFA OKTOBA 13, 2020

Janine Daki ni mwanafunzi katika Chuo Kikuu Cha Egerton, amehitimu miaka 24, yeye ni mzaliwa wa kaunti  ya Nakuru na mshindi wa tuzo za Miss Quarantine Nakuru 2020. Uraibu wake ni  kushiriki katika mashindano ya urembo. Picha/Richard Maosi