BI TAIFA OKTOBA 14, 2020

Winnie Soyo 25 ni mzaliwa wa eneo la Nyahururu kaunti ya Laikipia. Yeye ni mwanafasheni na mwanamitindo. Anapenda kupika, kusafiri na kutazama filamu. Picha/Richard Maosi