BI TAIFA OKTOBA 15, 2020

Janet Jemutai ni mzaliwa wa kaunti ya Uasin-Gishu, yeye ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika Chuo Kukuu Cha Maasai Mara. Uraibu wake ni kutangamana na marafiki na kusikiliza Bongo Music. Picha/Richard Maosi