Linda Jemutai ni mzaliwa wa Kaunti ya Uasin Gishu, amehitimu miaka 25. Yeye ni mfanyibiashara kutoka Nakuru. Uraibu wake ni kusakata densi na kutazama filamu ya Soap Opera. Picha/Richard Maosi