BI TAIFA OKTOBA 18, 2020

Sylvia Buluma 24,ni mzaliwa wa kaunti ya Kakamega, yeye ni mratibu wa mashindano ya wanamitindo kutoka Bonde la Ufa.Anapenda kulea talanta za wanamitindo chipukizi mashinani. Picha/Richard Maosi