BI TAIFA OKTOBA 19, 2020

Wendy Barak 24, ni mkaazi wa eneo la Manyani kaunti ya Nakuru.Yeye ni mtaalam wa kurembesha akina dada.Anapenda kutazama soka na kutazama filamu za Afro Sinema. Picha/Richard Maosi