BI TAIFA OKTOBA 23, 2020

Mary Narikae Namnyak, 22. Yeye ni mfanyibiashara na mwanafasheni kutoka kaunti ya Nakuru.Uraibu wake ni kusafiri, kupiga picha na kuogelea. Picha/Richard Maosi