BI TAIFA OKTOBA 24, 2020

Faith Kerubo ni mwanamitindo wa Lanet, amefikisha miaka 24. Uraibu wake ni kusakata densi na kujivinjari katika maeneo mbalimbali. Picha/Richard Maosi