BI TAIFA OKTOBA 26, 2020

Lucy Wanjiru 23, ni mkazi wa eneo la Mau Summit viungani mwa mji wa Nakuru. Yeye ni mwigizaji wa vitabu vya fasihi katika majukwaa mbalimbali.Uraibu wake ni kuimba, kutunga mashairi ni kutazama filamu. Picha/Richard Maosi