BI TAIFA OKTOBA 27, 2020

Aleccins Kinogu ni tabibu kutoka kaunti ya Nairobi. Kufikia sasa amefikisha miaka 26. Uraibu wake ni kutangamana na marafiki na kusikiliza muziki. Picha/Richard Maosi