BI TAIFA OKTOBA 28, 2020

Lucy Miru 30, ni mkazi wa mtaa wa Freearea kaunti ya Nakuru, yeye ni mwongozaji wa vipindi katika vyombo vya habari.Uraibu wake ni kusoma na kutazama filamu za Soap Opera. Picha/Richard Maosi