BI TAIFA OKTOBA 03, 2020

Eunice Muthoni, 21, ni mpishi hodari na mwanamitindo mtaani Uthiru, Nairobi. Uraibu wake ni kusafiri, kuogelea na kupika.
Picha/Richard Maosi.