BI TAIFA OKTOBA 31, 2020

Venessa Wambui 21, ni mwanafunzi wa masuala ya kiuchumi katika College of Accountancy jijini Nairobi.Uraibu wake ni kusafiri nakusoma majarida ya kitaaluma. Picha/Richard Maosi