Chebukati motoni kuahirisha kura katika kaunti mbili

Chebukati motoni kuahirisha kura katika kaunti mbili

VICTOR RABALLA Na SHABAN MAKOKHA

VIONGOZI wa eneo la Magharibi mwa Kenya wanamshutumu mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka Nchini (IEBC), Wafula Chebukati wakidai anapanga njama ya kumwibia kura mwaniaji mmoja wa ugavana katika Kaunti ya Kakamega.

  • Tags

You can share this post!

Tutakupa kazi, Wetangula aambia Uhuru

Raila kutumia Sh1.5m kuwasilisha kesi dhidi ya Ruto

T L