Habari Mseto

Corona imeathiri Waafrika milioni 5

August 8th, 2020 1 min read

AFP na FAUSTINE NGILA

Virusi vya corona vimeathiri zaidi ya watu milioni moja Afrika, lakini virusi hivyo vinaendelea kukithiri kwenye nchi zingine huku ikiongeza woga .

Zaidi ya watu milioni moja wamepona virusi hivyo vya corona huku vifo vikifikia 21,724 hii ikiwa asilimia tano duniani kulingana hesabu ya AFP.

Nchi tano zimechangia asilimia 75 ya visa vya corona Afrika.

Shirika la Afya Duniani WHO lilisema kwamba maambukizi yamepungua kwa asilia ishirini huku nchi kumi zikishuhudia kuongezeka kwa maambukizi.

Nchi ambazo zina idadi ya juu ya maambukizi ni pamoja na Afika Kunisi, Djibouti, Gabon, Cape Verde naSao Tome