Cotu yamtaka Matiang’i asikize kilio cha polisi

Cotu yamtaka Matiang’i asikize kilio cha polisi

Na ELIZABETH OJINA

Katibu Mkuu wa COTU, Francis Atwoli (pichani) amemtaka Waziri wa Usalama wa Ndani Dkt Fred Matiang’i kushughulikia malalamishi ya polisi waliofuzu kwa vyeti vya digri kuhusu kupunguziwa mishahara.

Maafisa hao wa daraja la chini walilalamikia kuhusu hatua ya kukatwa mishahara hadi kiasi cha Sh30,000.

You can share this post!

Masuala yanayomfanya Mudavadi ‘kuchukia’ Raila

Ruto, Raila wakoroga chama cha Kingi PAA

T L