Habari Mseto

Dereva aliyetowa apatikana ameuawa na kuzikwa

November 12th, 2020 1 min read

DICKENS WASONGA NA FAUSTINE NGILA

Mwili wa dereva wa texi aliyetekwa nyara wiki iliyopita umepatikana ukiwa umezikwa kwenye kaburi fupi kijiji  cha Koma Kaunti Ndogo ya  Gem Kaunti ya Siaya.

Maafisa wwa polisi walipata mwili wa Kennedy Onyango Ndolo ulikuwa umezikwa kwenye mgodi mmoja .Gari alilokuwa kiendesha lilipatikana kwenye mji wa Siaya..

Kamanda wa polisi wa  Kaunti ya Francis  Kooli aliambia Taifa Leo kwamba uchunguzi unaendelea kufanywa na maafisa waDCI kutoka Bondo  na  Siaya ambao ulielekea kukamatwa kwa washuiwa wanne.

Mr Kooli identified the suspects being held in connection to the incident as Florence Awiti Omollo, 38, Nevile Omondi Aloma, 30, Wycliffe Aluoch Owuondo, 20, and Samuel Ouma Owiso, 38.

“Wshukiwa hao waliogoza timu hiyo hadi wakapata gari ya mwathiriwa huyo gari aina ya Toyota yenye usajili (KBM 841W)lilimilikiwa na mwendazake kwenyemji wa Siyan a pia kaburi hilo linaloaminika kuwa la mwathiriwa.

Wapelelezi walikuwa wanachukua amri ya korti hili waufukue mwili wa  huo. “Tunaomba siku kadhaa ili tukamilishe uchunguzi,”alisema..

Kwenye kisa kingine mwiliwa bawabau wa miaka  56anayeaminika kuwa aliuwawa na majambazi  waliovunja duka kwenye soko laz Sia ulipatikana Ijumaa asubuhi wa wanafunzi waliokuwa wakieleka shuleni.

Wegi hao walivunja duka kwenye barabara  ya Ramula-Sila  Alhamisi na kuiba mizigo yenye thamana ya Sh 20,000.Kamnada wa Kaunti ndogo Bw Charles Chacha aliogoza maafisa wa usalama kuelekea eneo la tukio walipopata mwili umelala ndani ya ndamu kando ya duka lililovunjwa.

“Mwili huo ulikuwa na majeraha kichwani.Ulipelekwa kwenye hospitali ya Kaunti ndogo ya Bondo kwa upasuaji huku uchunguzi ukiendelea,”alisema.

Bw  Chacha alisema kwamba mmoja wa washukiwa alikamatwa kuhusiana na kitendo hicho.