Ebola: Madereva na wageni Moi International Airport jijini Mombasa wapimwa

Ebola: Madereva na wageni Moi International Airport jijini Mombasa wapimwa

NA WINNIE ATIENO

MAAFISA wa afya kaunti ya Mombasa wameimarisha ukaguzi wa madereva wanaowasili kutoka Uganda na wageni kutoka uwanja wa kimataifa wa ndege wa Moi kufuatia mlipuko wa ugonjwa wa Ebola nchi jirani.

Afisa mkuu wa afya ya umma Mombasa Pauline Oginga amewahutubia wanahabari leo Ijumaa ambapo ameeleza mikakati iliyowekwa na serikali hiyo.

  • Tags

You can share this post!

Raga ya Impala Floodlit kurejea Oktoba baada ya miaka miwili

Ruto abuni mbinu za raia kujitajirisha

T L