Michezo

Fainali ya FA: Manchester United kifua mbele

May 25th, 2024 1 min read

NA MWANDISHI WETU

MABAO ya Manchester United kupitia kwa Alejandro Garnacho katika dakika ya 30 na Kobbie Mainoo katika dakika ya 39 yameiweka kifua mbele kipindi cha kwanza.

Sasa mbivu na mbichi kujua nani mkali kati ya Man United na Manchester City kubainika kipindi cha pili.