Familia 15,000 kunufaika na mradi wa bwawa

Familia 15,000 kunufaika na mradi wa bwawa

Na SHABAN MAKOKHA

FAMILIA zaidi ya 15,000 zinazoishi kwenye mpaka wa Uganda na Kenya Busia zitapata huduma ya maji safi baada ya mradi wa bwawa la maji la Angololo ulioanzishwa kati ya mataifa hayo mawili kukamilika.

Serikali za nchi hizo mbili zilishirikiana na zikaidhinisha ujenzi wa bwawa hilo kusaidia kunyunyuzia maji ekari zaidi ya 3,300 za mashamba.

You can share this post!

Mwalimu aliyejichoma aaga dunia akitibiwa

Jubilee wafuta alama za Ruto talaka ikikamilika

T L