Michezo

FATAKI OLD TRAFFORD: Ubashiri wa mechi 21

February 24th, 2019 1 min read

NA GEOFFREY ANENE

JUMAPILI hii inakutanisha mibabe wa soka nchini Uingereza, Man United ikiwa nyumbani dhidi ya Liverpool. Tunatarajia mabao kwenye mechi hii huku tukipigia upatu Anthony Martial na Sadio Mane kucheka na nyavu. 

Liverpool italenga kutumia fursa hii kupanda juu ya Man City, nayo Man United italenga kupata pointi tatu ikinuia kupata nafasi ya Klabu Bingwa Ulaya. Hivyo, itakuwa mechi ya nipe nikupe.

Ikumbukwe kuwa vijana wa Ole Gunnar hawajapoteza mechi yoyote tangu kocha huyo aanze kuwanoa. Hii ilikuwa baada ya kupigwa na Liverpool 3-1 ugani Anfield hapo Desemba.

Mechi ya Arsenal pia itakuwa vile vile, mabao yatafungwa pande zote mbili. Kwa ubashiri zaidi tazama jedwali hili.

MECHI UBASHIRI WETU
ARSENAL VS SOUTHAMPTON GG
MANCHESTER UNITED VS LIVERPOOL GG
LEGANES VS VALENCIA VALENCIA
ATLETICO MADRID VS VILLARREAL GG
VALLADOLID VS REAL BETIS REAL BETIS
LEVANTE VS REAL MADRID REAL MADRID
SAMPDORIA VS CAGLIARI SAMPDORIA
SASSUOLO VS SPAL SASSUOLO
CHIEVO VS GENOA GENOA
BOLOGNA VS JUVENTUS JUVENTUS
PARMA VS NAPOLI GG
HANNOVER VS EINTRACHT EINTRACHT
DORTMUND VS LEVERKUSEN GG
NANTES VS BORDEAUX GG
TOULOUSE VS CAEN TOULOUSE
MONTPELLIER VS REIMS GG
RENNES VS MARSEILLE GG
MONACO VS LYON LYON
BOAVISTA VS RIO AVE RIO AVE
 CHELSEA VS MAN CITY   MAN CITY