Gavana Nassir kuimarisha idara kukabili majanga

Gavana Nassir kuimarisha idara kukabili majanga

NA WINNIE ATIENO

SERIKALI ya Kaunti ya Mombasa, imetangaza kuwa itaweka mikakati ya kuimarisha dharura ya majanga siku moja baada ya watoto wawili kutetekea kwenye moto.

Gavana Abdulswamad Nassir alisema atashirikiana na Shirika la Msalaba Mwekundu na mashirika mengine kupiga jeki idara ya dharura ya majanga ili kuokoa maisha wakati wa majanga.

  • Tags

You can share this post!

Ebola: Hofu raia wa Kenya akishukiwa

DOUGLAS MUTUA: Tusije tukayazoea mauaji kama haya ya...

T L